Dr Njozi na mauaji ya mwembechai
Huku waislamu wakisherehekea kuzaliwa kuzaliwa kwa Mtume muhammad na yaliyo mkuta akieneza dini hii. Waislam wa tanzania hawata sahau yaliyowakuta wenzao mwembechai ndani ya nchi yao wakieneza ujumbe wa Allah.
Soma kitabu cha mauaji ya Mwembechai
Habari za kimataifa
Je ni ukombozi wa iraq au uzayuni ndani ya Iraq. Pata habari hizi kiundani katika safu ya habari za kimataifa. |

Zinduka ewe Msomi wa kiislamu
Safu hii itkuleteeni makala mbalimbali zinazohusu ulimwengu wa mtaalam wa kiislam. Hakikisha hukosi sehemu hii ili upate mengi yakuhusuyo wewe muislam katika ulimwengu wako wa kiislamu.
Tutumie email yako kuchangia au kuturekebisha |